JAMBO TV
JAMBO TV
  • 2 013
  • 10 319 938

Відео

BUTIAMA WAAGIZWA KUKAMILISHA MAAGIZO YA KAMATI YA BUNGE.
Переглядів 4112 годин тому
BUTIAMA WAAGIZWA KUKAMILISHA MAAGIZO YA KAMATI YA BUNGE.
MADHARA YA MGOMO WA KUFUNGUA MADUKA DSM, BODABODA WACHUUZI WALIA MANZESE
Переглядів 9915 годин тому
#JAMBOTV ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►UA-cam: www.youtube.com/@Jambotv908 ►INSTAGRAM: jambotv ►TWITTER: jambotv_ ►FACEBOOK: jambotv ►WEBSITE: jambo.tz/
TAZAMA WAFANYABIASHARA JIJINI DODOMA WALIVYOGOMA KWA KUFUNGA MADUKA YAO/WATOA KERO ZAO...
Переглядів 51715 годин тому
#JAMBOTV ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►UA-cam: www.youtube.com/@Jambotv908 ►INSTAGRAM: jambotv ►TWITTER: jambotv_ ►FACEBOOK: jambotv ►WEBSITE: jambo.tz/
HELIKOPTA KWENYE KAMBI YA MATIBABU ARUSHA YAOKOA MAISHA YA MGONJWA ALIYEZIDIWA
Переглядів 42319 годин тому
#JAMBOTV ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►UA-cam: www.youtube.com/@Jambotv908 ►INSTAGRAM: jambotv ►TWITTER: jambotv_ ►FACEBOOK: jambotv ►WEBSITE: jambo.tz/
DC MAGOTI AKIWASHA KISARAWE ''SIPENDI UONGO, NINAONA ZAIDI YA X-RAY HUNIDANGANYI KWENYE MIRADI"
Переглядів 33622 години тому
#JAMBOTV Mkuu wa wilaya ya kisarawe Ndugu petro magoti amewaagiza watendaji wa vijiji na kata kuacha mara moja tabia ya kumaliza shauri zinahusu matukio ya vitendo vya ukatili dhidi ya Watoto badala yake washiriki kikamilifu kufichua na kuripoti uhalifu na wahalifu wa ukatili kwenye vyombo vya sheria. Mhe. Magoti ametoa agizo hilo Akizungumza na watumishi katika hafla ya makabidhiano rasmi ya o...
MWENYEKITI CHADEMA BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA KISA WAFANYABIASHARA AFUNGUKA MAKUBWA..
Переглядів 1,7 тис.23 години тому
#JAMBOTV MGOMO KARIAKOO,MWENYEKITI CHADEMA AFUNGUKA BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA KISA WAFANYABIASHARA "POLISI WANASEMA NIMEFANYA UCHOCHEZI" ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►UA-cam: www.youtube.com/@Jambotv908 ►INSTAGRAM: jambotv ►TWITTER: jambotv_ ►FACEBOOK: jambotv ►WEBSITE: jambo.tz/
MADIWANI RORYA WAPEWA ZIGO LA KUSIMAMIA.
Переглядів 1232 години тому
MADIWANI RORYA WAPEWA ZIGO LA KUSIMAMIA.
WABUNGE WAMKAANGA VIBAYA MPINA/ SPIKA AMUAMURU KUTOKA NJE YA BUNGE,BEBA VITU VYAKO TOKA NJE
Переглядів 4732 години тому
#JAMBOTV ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►UA-cam: www.youtube.com/@Jambotv908 ►INSTAGRAM: jambotv ►TWITTER: jambotv_ ►FACEBOOK: jambotv ►WEBSITE: jambo.tz/
WATUHUMIWA WA UKAHABA WAPANDISHWA KIZIMBANI,WAPATA DHAMANA, WAKILI MADELEKA AFUNGUKA
Переглядів 1,1 тис.2 години тому
#JAMBOTV WAKILI MADELEKA AFANIKIWA KUWATOA WATEJA WAKE 18 KWA DHAMANA..USHINDI WA MADELEKA SAKATA LA MADADA POA/ATOA MIL 5.4 KUWADHAMINI WATEJA WAKE/ADAI HAKIMU ALIKUWA NA HASIRA.. ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►UA-cam: www.youtube.com/@Jambotv908 ►INSTAGRAM: jambotv ►TWITTER: jambotv_ ►FACEBOOK: jambotv ►WEBSITE: jambo.tz/
PROFESA JANABI NA DKT. KISENGE, MIONGONI MWA MABINGWA WANAOHUDUMIA WANANCHI ARUSHA.
Переглядів 1352 години тому
#JAMBOTV ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►UA-cam: www.youtube.com/@Jambotv908 ►INSTAGRAM: jambotv ►TWITTER: jambotv_ ►FACEBOOK: jambotv ►WEBSITE: jambo.tz/
MGOMO WA WAFANYABIASHARA KARIAKOO/UKIMYA WATAWALA/MADUKA YAFUNGWA, WAGOMA KUFUNGUA MADUKA..
Переглядів 2132 години тому
MGOMO WA WAFANYABIASHARA KARIAKOO/UKIMYA WATAWALA/MADUKA YAFUNGWA, WAGOMA KUFUNGUA MADUKA..
MAONESHO YA MAGARI NA MAVAZI YENYE MUONEKANO WA MAGARI KUFANYIKA DAR, BEI RAHISI KUUZWA
Переглядів 282 години тому
MAONESHO YA MAGARI NA MAVAZI YENYE MUONEKANO WA MAGARI KUFANYIKA DAR, BEI RAHISI KUUZWA
WAKILI PETER MADELEKA ATIMBA MAHAKAMANI SAKATA LA MADADA POA, ATAKA WATEJA WAKE KULETWA MAHAKAMANI..
Переглядів 2252 години тому
WAKILI PETER MADELEKA ATIMBA MAHAKAMANI SAKATA LA MADADA POA, ATAKA WATEJA WAKE KULETWA MAHAKAMANI..
RAIS SAMIA APIGA SIMU KWA MAKONDA AAHAIDI/ RAIS AHOJI NANI AMELETA HELKOPTA
Переглядів 3622 години тому
RAIS SAMIA APIGA SIMU KWA MAKONDA AAHAIDI/ RAIS AHOJI NANI AMELETA HELKOPTA
RC MARA ASHUSHA NEEMA KWA WATU WENYE ULEMAVU AWATA SIDO KUTOA MAFUNZO KWA VIKUNDI VYOTE.
Переглядів 1274 години тому
RC MARA ASHUSHA NEEMA KWA WATU WENYE ULEMAVU AWATA SIDO KUTOA MAFUNZO KWA VIKUNDI VYOTE.
DKT.RICHARD MBUNDA, AJITOSA SAKATA LA MPINA,AMTAKA SPIKA KUMLINDA
Переглядів 1,4 тис.4 години тому
DKT.RICHARD MBUNDA, AJITOSA SAKATA LA MPINA,AMTAKA SPIKA KUMLINDA
RC MARA AMPA MAAGIZO MAZITO DC TARIME KUHUSU UKATILI.
Переглядів 1744 години тому
RC MARA AMPA MAAGIZO MAZITO DC TARIME KUHUSU UKATILI.
MSAKO WA MADADA POA NA MAKAKA POA KUENDELEA JIJINI DAR KWA KASI ''MJIANDAE NATIA GIA'' CHALAMILA
Переглядів 1674 години тому
MSAKO WA MADADA POA NA MAKAKA POA KUENDELEA JIJINI DAR KWA KASI ''MJIANDAE NATIA GIA'' CHALAMILA
CHALAMILA ATOA TAMKO JUU YA SAKATA LINALOENDELEA LA WAFANYABIASHARA KUTAKA KUGOMA..
Переглядів 2,3 тис.4 години тому
CHALAMILA ATOA TAMKO JUU YA SAKATA LINALOENDELEA LA WAFANYABIASHARA KUTAKA KUGOMA..
MWENYEKITI WA WAFANYABIASHARA ATOA TAMKO MADAI YA KUITISHWA KWA MGOMO NCHINI...
Переглядів 2,8 тис.7 годин тому
MWENYEKITI WA WAFANYABIASHARA ATOA TAMKO MADAI YA KUITISHWA KWA MGOMO NCHINI...
ACT WALIA NA SERIKALI ''DIGITAL CONTENT CREATORS'' KUTOZWA KODI/WATILIA MKAZO VIKOKOTOO....
Переглядів 737 годин тому
ACT WALIA NA SERIKALI ''DIGITAL CONTENT CREATORS'' KUTOZWA KODI/WATILIA MKAZO VIKOKOTOO....
MSAKO MKALI MADENI YA MAEGESHO YA MAGARI , DC ILALA ATANGAZA KUKAMATA WADAIWA SUGU
Переглядів 957 годин тому
MSAKO MKALI MADENI YA MAEGESHO YA MAGARI , DC ILALA ATANGAZA KUKAMATA WADAIWA SUGU
ACT WAINGILIA KATI FEDHA ZA MUUNGANO/ZANZIBAR NA TANGANYIKA/INAHITAJI STAHIKI ZAKE...
Переглядів 1827 годин тому
ACT WAINGILIA KATI FEDHA ZA MUUNGANO/ZANZIBAR NA TANGANYIKA/INAHITAJI STAHIKI ZAKE...
MKUU WA MKOA ARUSHA ATANGAZA SIKU SABA ZA KUPIWA NAKUTIBIWA AFYA YAKO BURE MKOA MZIMA
Переглядів 4487 годин тому
MKUU WA MKOA ARUSHA ATANGAZA SIKU SABA ZA KUPIWA NAKUTIBIWA AFYA YAKO BURE MKOA MZIMA
“KUNA UTITIRI WA KODI NA TOZO” MGOMBEA UBUNGE MBOZI CHADEMA AICHARUKIA SERIKALI, SUGU AMUUNGA MKONO
Переглядів 2267 годин тому
“KUNA UTITIRI WA KODI NA TOZO” MGOMBEA UBUNGE MBOZI CHADEMA AICHARUKIA SERIKALI, SUGU AMUUNGA MKONO
SUGU AWAKA 'CCM WANAKOPA SANA TUNAOLIPA DENI LA TAIFA NI SISI WANANCHI, TUIKATAE CCM"
Переглядів 3537 годин тому
SUGU AWAKA 'CCM WANAKOPA SANA TUNAOLIPA DENI LA TAIFA NI SISI WANANCHI, TUIKATAE CCM"
WANAOFANYA SIASA MISIBANI KUSHUGHULIKIWA
Переглядів 2879 годин тому
WANAOFANYA SIASA MISIBANI KUSHUGHULIKIWA
WATANO WAJITOKEZA KURITHI 'MIKOBA' YA MREMA TLP/ MAKAMU M/KITI ATANGAZA KULAANI MAUWAJI YA ALBINO
Переглядів 1639 годин тому
WATANO WAJITOKEZA KURITHI 'MIKOBA' YA MREMA TLP/ MAKAMU M/KITI ATANGAZA KULAANI MAUWAJI YA ALBINO
SAKATA LA UGAWAJI VIZIMBA KARIAKOO, DC MPOGOLO AWATEGA WAFANYABIASHARA/ AWATAKA KUWA WATULIVU
Переглядів 869 годин тому
SAKATA LA UGAWAJI VIZIMBA KARIAKOO, DC MPOGOLO AWATEGA WAFANYABIASHARA/ AWATAKA KUWA WATULIVU

КОМЕНТАРІ

  • @festosimlembe6906
    @festosimlembe6906 6 хвилин тому

    Mhe Mpina watanganyika wote tupo pamoja nae na machozi yetu mwenyezi Mungu anayaona hayataenda bule

  • @festosimlembe6906
    @festosimlembe6906 8 хвилин тому

    Watanganyika tunajua kuwa hukumu aliyo pewa mhe mpina nikufunika ufisadi alio tufungua macho mhe mpina,hawataki kabisa Ovu aliofanya mhe bashe wakuvunja sheria na kutoa vibari makampuni mengine kuleta sukari wakati wenye viwanda wapo wanaoweza kuleta sukari halufanya hivyo, inaonyesha na inanipa shaka kuna pesa alihitaji kutoka kwa hao aliowapa vibali.

  • @EliaoniTerry
    @EliaoniTerry 11 хвилин тому

    Massawe, wewe na wenzako mlipaswa kulitaka jeshi la polisi kumwachia Erasto Rweimamu, ndipo mkutane na serikali, kitendo cha wewe na wenzio kukutana na serikali ili hali mwenzenu anashikiliwa ni USALITI. sidhani hata Leo kama wafanya biashara watakusikiliza, nikushauri tu kwamba kabla ya kupanga kukutana na wafanya biashara hakikisha Erasto na wenzake umeshikiza polisi wawaachie mbele yako ndipo muende kuongea na wenzenu.

  • @bertinkimati2674
    @bertinkimati2674 12 хвилин тому

    Mnatakiwa pia kuwaelimisha watanzania haki yao ya kutokutoa maelezo yoyote wakiwa chini ulinzi wa polisi kama hawana wakili au shahidi atakayeshuhudia mahojiano hayo ili kuzuia polisi kuwabambikia maneno ya uongo

  • @geraldmihimbo1542
    @geraldmihimbo1542 27 хвилин тому

    Kutumia nguvu hakuwezi kuleta suluhisho la kudumu.unamkamata anaetetea haki ili iweje?

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 32 хвилини тому

    Inawezekana huyu Massawe ni snitch. Atakuwa kawachoma wenzake. Ukomwangalia haaminiki

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 35 хвилин тому

    Kufunga na kufungua duka ni uamuzi wa mwenyeduka vinginevyo ni ajabu na udikteta

  • @omaryjudasymwanga7172
    @omaryjudasymwanga7172 42 хвилини тому

    Kwani police ndio waajiri wa huyo jamaa kwamba hilo duka lina ubia napolice mambo ya kihuni hapo watampakesi maana hawashindwi

    • @omaryjudasymwanga7172
      @omaryjudasymwanga7172 41 хвилина тому

      Watu wameitwa na waziri police mnahusikaje

    • @omaryjudasymwanga7172
      @omaryjudasymwanga7172 19 хвилин тому

      Biashara nizao na maamuzi niyao kama serikali haioni faida yao wanakusanya mahali ambapo hawakutawanya yani hapa hawana tofauti na mtu analazimisha kukamua mnyama ambaye hana ndama mambo ya hovyo sana police wa Tanzania nao kunasaa wamekua kero wanakurupuka kipitiliza duka nilake hakwenda kuzuia wengine kufungua ila hali inajionyesha wanakamuliwa na serikali kupitiliza wangefanyaje wakubali kuumia ili waitwe waadilifu maana ya biashara ni uone faida sasa kama hakuna kitu hiyo ni biashara au ni sawa na kibarua usiyejua malipo yako yanatoka kwa nani ilihali unafanya kazi tena ya kufa na kupona jioni mauzo anakuja mtu na V8 anakupa control number unaweka hela huko wee uazime mpaka nauli yakwenda kwako utakua na ubobgo wa binadamu au ubongo wa ngurue acheni uonevu inazidi mtawafanya wajinga waamke

  • @mirajiyombe1601
    @mirajiyombe1601 59 хвилин тому

    Maelezo hayana ukweli

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq Годину тому

    Hapa mumefanya jambo jema maana mitaji ni yenu musinyanyaswe na kundi la watu wachache

  • @thomasmichaellukumai-ny7se
    @thomasmichaellukumai-ny7se 2 години тому

    Kwani ataki mama aonge na wafanyabiashara

  • @thomasmichaellukumai-ny7se
    @thomasmichaellukumai-ny7se 2 години тому

    We'we ni msaliti wa wenzako

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 2 години тому

    Masawe uache jaja ukaja kua kama Mzee lukuvi umeona Kenya wa Tanzania walelo siyo wale wa kina nape janwary wa na dhalau umoja ni nguvu police Hawa wajiandae

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 2 години тому

    Ok hiyo mjinga ni usama wataifa amemuza lweimamo na amekuja hakusema huyo tufe nae kabisa Wana biashara Gani elasto akifa amani itapatikana kumbe hao wengine na mwenyekiti ni sawa na nape

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 3 години тому

    Changamoto kubwa sana

  • @maryhando227
    @maryhando227 3 години тому

    Serikali mwachieni , mnajitafutia matatizo makubwa zaidi.

  • @zedekiajumaluwumba3473
    @zedekiajumaluwumba3473 4 години тому

    I love how respectful he is while address the issue very detailed, calm and composed. Keep it up Mr Mpina

  • @donaldmaziku7915
    @donaldmaziku7915 5 годин тому

    kwa nini walikubsli kwenda wakiwa hawajakamilika?

  • @petermbuya6151
    @petermbuya6151 6 годин тому

    Bunge la Majizi Ya Mali za umma

  • @user-bf9xj3nf1o
    @user-bf9xj3nf1o 7 годин тому

    Ccm na samia wahuni kabisa acheni utoto guys it will cost u one day

  • @Byondorujulika17
    @Byondorujulika17 8 годин тому

    Safi sana kwa uamuzi muzuri wa Wafanya Biashara, from Cedar Rapids Iowa state USA.

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 9 годин тому

    Sasa nguvu Sasa sio sikivu tena

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 9 годин тому

    Mi nilitaka nishangae media hii ya chadema iache kuzungumzia issue hii ya kariakoo ningeona ajabu

    • @mgm412
      @mgm412 8 годин тому

      Chadema inahusikaje hapo ww boyaa

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 Годину тому

      Kwani hii habari imeripotiwa na chanel hii tu

    • @WamburaMaseke
      @WamburaMaseke 56 хвилин тому

      We matako nini unataka kutuunganisha na Mambo ya kisiasa ? We mbwa kabisa

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 42 хвилини тому

      Chadema ni ndugu zako, mama, baba, mtoto. Shangazi. Katiba yetu inatoa mwanya wa kuwepo kwa vyama vingi.

  • @ZariheenaMsambaa
    @ZariheenaMsambaa 9 годин тому

    Wamejizalilisha wenyewe.huyu dada mwenye we yupo uchi

  • @hbdina
    @hbdina 10 годин тому

    🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Viongozi wengi wa Afrika hawajui kusikiliza Wananchi.Kazi yao kuweka nchi zao kwenye mitego ya IMF.Kwanini hawaoni mfano wa Traore wa Burkinafaso

  • @user-df3hx9wg5l
    @user-df3hx9wg5l 10 годин тому

    Acha watu wapate pesa acha ujinga mpina watu wamefilisika

  • @batoninkinda4177
    @batoninkinda4177 10 годин тому

    Mbona kodi za hizo baa selikali inachukua sasa pesa hizo zitatoka wapi?

  • @hajimchomvu7878
    @hajimchomvu7878 10 годин тому

    Tunaumia sana mtaji milion 1wanakomaa ,rais samia ongea neno mama

  • @froma3732
    @froma3732 10 годин тому

    Ok, mpina yuko Sawa lkn wameshaamuwa

  • @hadhirabdallah9348
    @hadhirabdallah9348 10 годин тому

    Ndugu mtangazaji Sio zarula ni dharura 😃😃

  • @GerfansiBakari
    @GerfansiBakari 11 годин тому

    sadi mpina ww sio mbu ge wakipigia watu makofi unajitambua

  • @GerfansiBakari
    @GerfansiBakari 11 годин тому

    ukovizuri ww sio kiraka

  • @user-zb5qz6fk1v
    @user-zb5qz6fk1v 11 годин тому

    Ngoja waamke wafanye kama kwa Ruto .

  • @simeonmazigo5918
    @simeonmazigo5918 11 годин тому

    Wasema ukweli ktk Inchi hii wanachukiwa sana😢😢😢

  • @nurumwashinga3662
    @nurumwashinga3662 11 годин тому

    Achananeni na mama mama yeye ndio kasababisha

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 12 годин тому

    Mbona hueleweki upo upande Gani au unataka kujionesha sura

  • @tithophilemon8769
    @tithophilemon8769 12 годин тому

    Hawana akili nzuri hao

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 12 годин тому

    Waziri wetu wa kilimo jmni hebu liangalie hili kwa makini jmni? mbona mambo haya hayatiliwi maanani? ikija kutokea ndo tutasema Mh Mpina alisema haya. ss hivi watu ni wachache wanamuunga mkono mtu huyu ikitokea watakuja mamilioni wakisema ooh jmni alisema

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 12 годин тому

    Sehemu ambayo wabunge hawa wamezidi kuwakosea wananchi ni pale wanaposhikilia maamuzi ya Spika na kutoa maneno mazito yanayofanana kumshutumu mbunge mwenzao kila mmoja kumpa hatia mbaya bila kuchangia maoni yao binafsi kama bunge na kuonyesha wazi kuwa wao hawakutokana na ridhaa ya wananchi bali ni chombo cha serikali kuminya haki za waliowapa dhamana. Hapa kuna nguvu kama za 2020 wanajivunia wala hawana hofu yoyote ya kutochaguliwa kwa kura!

  • @AmanLaizer-rb5rt
    @AmanLaizer-rb5rt 12 годин тому

    Mamaa mamaaa ya nini??Teteeni haki yenu acheni upambe nuksi

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 12 годин тому

    huyu mbunge wetu anaongea mambo yanaumiza sana moyo kwa kweli...sasa viwanda vyetu itakuaje? walau tunamtu ambae wanamuita "REMNANT" kkt nchi yetu anatetea maslai ya wananchi...dunia haipendi wema bali ni Mungu pekee

  • @d.family.choir1799
    @d.family.choir1799 13 годин тому

    Inaonekana wasukuma ni watu makini sana tunauweza uongozi

  • @ednambata9503
    @ednambata9503 13 годин тому

    Nitasimama kwenye maombi yangu kwa ajili ya mpina Mungu akulinde kaka yetu

  • @sadikingonyani8124
    @sadikingonyani8124 14 годин тому

    Makonda ni KIONGOZI wa watu, ana moyo wa kipekee

  • @user-gb5rt4ce2p
    @user-gb5rt4ce2p 14 годин тому

    Ushauli selikali kama mliona Hilo msitake maneno mengi mheshimiwa chalamila nenda ongea na mama muwahamishe wananchi eneo Hilo libaki mikononi mwa kesho wafanye mazoezi Kwa uhulu

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 15 годин тому

    Makonda we ni binadamu wa kweli mungu akupe afya njema inshaallah

  • @user-dm8ys5uz8q
    @user-dm8ys5uz8q 15 годин тому

    Makonda mungu akupemyw mingi mana watu wapotu kazini

  • @antipasmkude3789
    @antipasmkude3789 15 годин тому

    Wakili amefafanua vizuri. Mpina yupo sawa, wanaomsema ndio siyo wazalendo. Wanatetea ufisadi wa viongozi.

  • @MeddyZambetakis-iq6pg
    @MeddyZambetakis-iq6pg 15 годин тому

    Mkuu wa wilaya anatafuta Kiki kupitia wanyonge, NCHI IMEOZA HII

  • @muhsinkimaro4283
    @muhsinkimaro4283 16 годин тому

    Stori ya kutengeneza hii, wee askar hawamjui mjamzito kweli?